Kenyan forum: Fashion - Bell botoms & mini skirts
Share this topic
9 Feb 2016 05:42

Mtindo huo wa zama wa mavazi ulikuwa na upotovu wowote wa maadili?

9 Feb 2016 05:46

Nop,bt siku hizi inachangia sana jambo hilo la upotovu wa maadili

10 Feb 2016 09:13

Apana Wakati Huo Watu Walikuwa WaNaheshimiana Sana