Kenyan forum: Religion - Methali
Share this topic
23 Jan 2016 07:51

Fafanua Maneno Haya Kwa Kina"Mtungi Hupasukia Mlangoni."

27 Jan 2016 17:21

Inamaanisha ukiangusha mtungi kwa mlango itapasuka lkn nauko haiwezi

27 Jan 2016 20:09

Quote by EricksonEmuget
Fafanua Maneno Haya Kwa Kina"Mtungi Hupasukia Mlangoni."

31 Jan 2016 21:21

Inamaanisha:wakati mwingi mtu hufanya siri zake mbali na familia lakini siri wakati fulani zitafika nyumbani au maskani pa mhusika.

31 Jan 2016 21:25

Quote by baya94
Inamaanisha:wakati mwingi mtu hufanya siri zake mbali na familia lakini siri wakati fulani zitafika nyumbani au maskani pa mhusika.

1 Feb 2016 09:17

Hii ni methali inayotushawishi kuwa wangalifu na kumakinika katika kila jambo tulifanyalo hadi tulitamatishe,wala tusije legesa kamba iwapo twahisi kuwa tushaitekekeza sehemu kubwa katika jambo fulani hivyo basi twaweza legesa kamba la hasha. Wenda hiyo sehemu ionaya kama ndogo ikawa ndio uharibifu wa kila kitu.