Kenyan forum: Food - Menu choice food.
Share this topic
26 Apr 2014 10:52

Kuna hii bad manners with most Kenyan chics! Eti anaitisha her fevorite meal kwa restaurant,then anakula anakula like a quater,unaskia,babe am ok! Nataka tooth pick na ka Snap(adrink) mkifika kwa keja anakuuliza,babe tunapika nini,WHAT DO WE HAVE 4 SAPA,surely na umeacha food!! Nkt

ebu niambie ka ushawahi experience ths,

5 May 2014 22:21

nothing bad with that budah? kukkula kuwa, cha plate empty shows ua poverty..how they eat shows. who they r.?

30 May 2015 15:45

Hahahahaha chakula iliishia kwa barabara mkienda home so lazima nikule tens ndo nipate energy