Kenyan forum: Jokes - Eti unadreamia impossibles na possibles bado hauja accomplish..!
Share this topic
26 Nov 2015 22:01

"Unadream kununua gari na kiatu yako imebambuka...
"Unawish kuwa mdosi na uchangamkii opportunities...
buda,unataka kuniambia utajengaje nyumba ya orofa na unadaiwa rent ya miezi mbili? #Drop1

27 Nov 2015 18:51

Atiiiiiiiiiiiiii.. Aki inapotea atiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekumbuka atiiiiiiiiiiiiiiiii imepotea tna

20 Mar 2016 01:55

Ati wanaandika chupa za beer, "Drink Responsibly" ,it's *Responsibilities that makes people drink!!