Kenyan forum: Jokes - Midundo na Misemo ya Wa"genge" Reloaded...
Share this topic
28 Sep 2015 21:48

..wahenga walisema, "mtoto wa nyoka ni nyoka"
..wagenge wakasema,"mtoto wa nyoka ni kama babake akiwa mdogo"
..wakaita msichana mrembo "kipusa"
..wakadai anaitwa "totois"
....wacha tuskie zako noma

30 Sep 2015 20:03

Quote by IkoNini
..wahenga walisema, "mtoto wa nyoka ni nyoka"
..wagenge wakasema,"mtoto wa nyoka ni kama babake akiwa mdogo"
..wakaita msichana mrembo "kipusa"
..wakadai anaitwa "totois"
....wacha tuskie zako noma :D

wewe wacha wahenga. na wewe ni ayaya karubandika wakizazi kipya fala wewe

30 Sep 2015 22:46

Quote by kakalaactor

30 Sep 2015 22:50

nani amesema?...wewe ni hayati,nebkadinezah

1 Oct 2015 15:09

kama mimi ni hayati. wewe ni pharaoh mla siafu

1 Oct 2015 15:27

Quote by kakalaactor
kama mimi ni hayati. wewe ni pharaoh mla siafu

na kama mimi ni pharaoh wewe ni hekaya tihii

2 Oct 2015 09:25

Mm sikuwasikia wakisema chochote

2 Oct 2015 12:44

Quote by Dieyounng
Mm sikuwasikia wakisema chochote

...ha2kua 2mekuzaaa

2 Oct 2015 23:42

Quote by IkoNini
Quote by kakalaactor
kama mimi ni hayati. wewe ni pharaoh mla siafu

na kama mimi ni pharaoh wewe ni hekaya tihii :D

sawa
tu wewe ni fisi mla watoto wake.yaani team mafisi.hehe

3 Oct 2015 12:47

na wewe ni mamba mtaga mayai

8 Nov 2015 03:34

Ni kama kuita msenge bro yake mnenge.

11 Nov 2015 21:12

...ni kama kushindwa kutofautisha "Chungu Tamu"

20 Mar 2016 02:00

Ni kama Wahenga hawakuwaga na job ingine ya kufanya,kuchezea akili za wasee tuu....Ati maisha ni Safari,,,,si bac Kifo ni Matatu!