Kenyan forum: Jokes - Mchongoano za mitaa..
Share this topic
4 Sep 2015 17:18

...Kama wewe ni mnoma na mchongoano angusha yako hehe..Leta zako ujibiwe...Unangoja? aaaiiii..

Edited by IkoNini / 19 Sep 2015 23:06
7 Sep 2015 11:40

"Kishwa marege"

7 Sep 2015 14:31

Diss

9 Sep 2015 08:41

coming

9 Sep 2015 08:42

/b

11 Sep 2015 16:37

Magoti ya nyoka nyinyi

11 Sep 2015 16:39

Quote by "Corneliusmart"
/b

11 Sep 2015 17:24

Quote by NangosiJohn
Magoti ya nyoka nyinyi

nugu wewe

12 Sep 2015 00:08

Ati nyinyi ni wengi kwenyu mpaka mna lalanga na shifts... 'watu wa night shift na day shift'

13 Sep 2015 19:19

naskia nyinyi ni wengi mpaka mkikula uwa mnaitwa roll call

Edited by NangosiJohn / 13 Sep 2015 19:21
13 Sep 2015 19:30

Baba Ynu N Fala Mpaka Driving Skul Alienda Boarding

Edited by Fabrez / 14 Sep 2015 12:36
13 Sep 2015 19:37

Ati wwe ukizaliwa ulitolewa kama trophy

13 Sep 2015 19:50

ati ww ni mwoga mpaka unalalanga kama umekunja ngumi.

13 Sep 2015 20:38

wewe ni mkonde hadi ukishuta unaumia

13 Sep 2015 20:45

first tyme yako kumanga ball gums ulimeza na waba lol

13 Sep 2015 20:56

wewe ukonakichwa kubwa hadi ukiwa kwa swimming pool,mtu anaeza dhani ni 'migingo island' tihihiii

13 Sep 2015 21:42

1st tyme yako kucheki coke ulisema eti imeungua pwahahahaha

13 Sep 2015 21:46

ati uko na kisogo kubwa mpaka imetokea nyuma ya ID yako

13 Sep 2015 21:49

mara yako ya kwanza kupanda ndege ulisema ``konda shukisha apo kwa kona''

Edited by NangosiJohn / 13 Sep 2015 21:50
13 Sep 2015 23:14

Uko na kichwa ndogo kona ya njugu

Edited by NangosiJohn / 16 Sep 2015 22:11