Kenyan forum: Jokes - UJINGA NI
Share this topic
10 Apr 2014 16:24

ujinga ni........

10 Apr 2014 17:08

ujinga ni kupigia mtu simu akiongea pole una muliza kama anatomb....a.

11 Apr 2014 18:42

kipofu kunionea wivu

11 Apr 2014 20:52

ujinga ni kubrass viatu ukipigwa paspot

11 Apr 2014 20:58

ujinga ni kweda chuch na chai ukidai Yesu die mkate,kudai matumaini ni matubo na maini

13 Apr 2014 01:48

Ni ndere k2mia spekx ka xyd mira

14 Apr 2014 12:07

Ujina ni chalikulala njaa na ako na dem ameiva

19 Apr 2014 20:14

Ujinga ni dem kuvaa tshirt imeandikwa nimechill na ako na ball

23 Apr 2014 20:20

Ujinga ni moyes

29 Apr 2014 13:42

kuchelewa job alafu boss akiuliza unadia akupe more choices.....

29 Apr 2014 16:14

kuja na mkate baro ukicheki jamu ya ndai

29 Apr 2014 16:45

ni ku watch cheaters na mpango wa kando

29 Apr 2014 17:34

Unafikiria hii debate juu ya skirt ya Corporal Linda Okello ni justified ama mavazi hayajalishi, ni kazi tu??

29 Apr 2014 17:35

Ujinga ni kufua nguo na maji moto ati ndio zikauke haraka,

29 Apr 2014 17:40

Ujinga ni kudai umeenda ocha na ua shosh ni neiba,

29 Apr 2014 19:32

Ni kukataa kona ukubali penalty.

29 Apr 2014 20:27

kukunia alafu unajipanguza kwa vidole

29 Apr 2014 21:36

kwenda kukaa kwa reli ndio useme uko kwa the right track

29 Apr 2014 21:37

kucatwalk kwa nyumba ndio ufukuze panya

29 Apr 2014 21:38

kusmile ukipigwa picha ya x-ray