Kenyan forum: Other - Honey
Share this topic
1 Jun 2015 07:37

Calling somebody honey,sweety,kasupu,etc ina umaana wowote kwako?

1 Jun 2015 07:39

Ok inaweza ongeza upendo asilimia fulani.

1 Jun 2015 18:32

Ilikuwa na maana kubwa sana, lkn siku hizi ni unafiki tu.so 4 nara.

1 Jun 2015 19:21

Utamu halisia wenye ladha ya kushusha roho

1 Jun 2015 19:26

Kwa wapendanao maana ipo ila sioni kwanini usimuite hivyo japo kuwa kila mtu hulitumia kiutani,mapenzi ni mapenzi tena yale ya kiugwana na ukweli yanayo toka moyoni si sikuizi mapenzi pesa

1 Jun 2015 22:29

Yaa,ina maana ebu anza kuitana utaona

1 Jun 2015 22:36

cku izi haina maana,ata i lv u imekua kama salamu!

2 Jun 2015 01:39

As CathyStone says the words r no longer meaningful as they used 2 b. In some instances however they mean the world n its belongings .. If U listen 2 FM stations mostly in the early morning shows U will witness the presenters honeying n darling' their callers n they even don know each other ... I rest ma case!

2 Jun 2015 07:17

Very tru @mugambi

2 Jun 2015 08:40

Maneno Kama Haya Yana Maana Sawa Na heshima Au Uhusiano Wako Na Mwenye Unaye..?

2 Jun 2015 08:44

Some Has Advantenges" Romantic Names Are The Most Powerful Word In Relationship &close Friend.

2 Jun 2015 09:34

Wakuitana wako,wakuitwa hakuna.

2 Jun 2015 15:05

haina maana ati mtu akuite honey hiyo ni ujinga tupu.

2 Jun 2015 15:24

Izo salamu za sku izi jameni.......

3 Jun 2015 11:27

Other wl take advantage ka itakuwa ngumu kwako.

3 Jun 2015 15:40

they are of no meaning any more

4 Jun 2015 08:00

They are just but meaningless nouns.

4 Jun 2015 08:18

Hey "stop Rumours Of Romantic Word!Kwangu Inamaana itumie Vyenye Tu Inafaa "

4 Jun 2015 08:26

hi favoured nani huyo anaspread rumours toboa aache za ovyo hata sisi tunadai

4 Jun 2015 15:13

no meaning at all