Kenyan forum: Other - Madaraka day
Share this topic
1 Jun 2015 07:19

Ina maana yeyote kwako?

1 Jun 2015 07:22

Yup madaraka day ilikuwa mwanzo wa kujitawala!

1 Jun 2015 22:28

Haina ata kidogo

2 Jun 2015 12:44

hamna maana wowote

3 Jun 2015 17:40

Ina maana tu kwa wenye nchi.

3 Jun 2015 17:41

Ina maana tu kwa wenye nchi bali sio watumishi wa nchi