Kenyan forum: Other - ujinga za electronics
Share this topic
25 May 2015 12:09

ujinga ni samsung ku-advertise electronics zao kisha wana-save data kwa comp za HP!

26 May 2015 15:56

Sawa basii

28 May 2015 06:54

Ujinga ni kupelekea fundi radio afanye repair halafu akitoa mende unamshow arudishe huyo mtangazaji. Haha

31 May 2015 08:12

Aih! Hw Do U Knw??