Kenyan forum: Other - Ujinga.
Share this topic
3 Apr 2015 15:49

Ujinga ni......?

3 Apr 2015 15:50

Kuweka viatu kwa fridge eti ndio ikue clean n fresh.

3 Apr 2015 15:52

Kufanya vita chini ya maji na lakini unaishi desert.

3 Apr 2015 15:54

Kutoa viatu ukiingia lift.....

7 Apr 2015 22:50

Kwambia kipofu unanionea.

12 Apr 2015 15:45

Ujinga ni kuosha nguo kwa maji ya moto ndo zikauke haraka

26 Jul 2015 19:54

ujinga ni.. kwenda kwa church na chai ukisema yesu ni mkate wa uzima