Kenyan forum: Other - mombasa mats carry the craziest slogans
Share this topic
27 Mar 2015 06:49

Kama sketi za shule zakuchanganya shonea mkeo.Or-Ukinipa thithemi,Wacha batoto nafurahi etc etc

27 Mar 2015 15:31

haha ya docks karibu kwa tv screen "we angalia tu lakini fare sipunguzi" ama ya tudor "hope haujapanda hii gari kwa sababu ya screen fikiria ununue yako" hizo ndo gari unambia dere zima tv kuna kelele

27 Mar 2015 15:42

Saint Moses,yah man,I feel u

27 Mar 2015 16:08

niko kwa ingine hapa imeandikwa (dear customer to avoid any inconviences come with enough fare

28 Mar 2015 20:01

Nipelekwe pia mm nijisomeee

29 Mar 2015 21:03

-Mapenzi kwa gari ni kukaa wanne wanne kama PK!
-Usijisifu na mbio,sifu aliyekukimbiza
-Dont think of those things here,this is a mind-free zone
THIKA MATZ

29 Mar 2015 22:06

Ngarith,!!!!wah hio kali

29 Mar 2015 22:10

U remind me of them days in Thika,when we introduced jam session at Cascades

30 Mar 2015 08:16

No.45 githu, lipa bila fujo hii kazi ni ngumu.

30 Mar 2015 13:21

Mat inaandikwa when u miss the driver kiss the conductor

30 Mar 2015 13:59

That's funny,namesake

30 Mar 2015 14:13

Mwashao,hao wasee WA githurai wanakaa kuwa seriose vinoma

31 Mar 2015 09:37

Ni kama wanachemsha ngwai wanakunywa kabla waanze job. Ukitaka poa ni kuingia na kuchukua cmu nawe unakaa serious kuchat na fare hutalipa

31 Mar 2015 09:45

Hahahaaa

1 Apr 2015 17:45

To those who have the habit of eating stuffs while in the mat;
"Kama hujanunua hapa,usikulie hapa"

Edited by Ngarih / 1 Apr 2015 17:47
1 Apr 2015 17:56

Ukiona unachelewa shuka ukimbie..

1 Apr 2015 22:24

I cn imagine that

23 Apr 2015 08:55

kwa bus ya malindi " Tafadhali dereva tuangushe tuonekane kwa Tv"

23 Apr 2015 20:31

Hahaha,crazy young guys reall amazing

24 Apr 2015 18:02

Ya Pangani Ati Kukomesha Hakuna Stage Ya Kumi " Kama Una Kumi Nunua Ovacado Uslide Nayo Mpaka Tao" Ama "kama Una Ten Bob, Nunua Ngumu Mbili Ukimbie Ukienda Tao"