Kenyan forum: Jokes - Mchongoano kali. Tupa zako tusikie
Share this topic
14 Mar 2014 12:21

Ati ukona akili ndogo hadi huwezi think twice

15 Mar 2014 07:26
Post is hidden!
15 Mar 2014 08:27

Hahahahah hio nimetii igweee

15 Mar 2014 17:51

we ni mrefu hadi unauzia watu njugu wakiwa kwa ndege angani

18 Mar 2014 22:39
Post is hidden!
19 Mar 2014 17:41

We mzee hadi unamea skuma kwa makwapa

20 Mar 2014 06:20

ati ww ni mlafi hadi unaonja maji ya ugali

21 Mar 2014 09:59

Ati ukona mkono kubwa hadi ulipokuwa mtoto ulikuwa unajibeba

24 Mar 2014 20:10

We ni mweusi hadi ukikunja trouser ya white unaka umevaa gumboots

29 Mar 2014 17:03

we ni mjinga,hadi ulienda kwa bookshop kununua facebook

1 Apr 2014 06:31

babu yako hana meno na bado ana complain ati colgate imepanda bei !!

1 Apr 2014 06:35

kwenu mko wengi hadi kuna roundabout

1 Apr 2014 06:39

we ni mweusi hadi ukitembea usiku giza kinasema usilete compe

1 Apr 2014 07:40

ati umrembo na msafi mpaka ukinyamba mainzi yatoroka

1 Apr 2014 08:17

dem wako ni mslim hadi ye uvaa `always' na suspender

1 Apr 2014 11:16

we ni mrefu mpaka unalishwa na panda.

1 Apr 2014 12:34

Solo ati kwako ni kuchafu lazima uoge miguu divyo utoke inje hahahahaha.........!!

1 Apr 2014 12:38

ati wewe ni mshamba hadi phone yako ikona game ya kulima

1 Apr 2014 12:40

ati we ni mzee mpaka birthdy zako zimeisha

1 Apr 2014 12:46

Hahaaaa u guys made ma dy ...