Kenyan forum: Sports - MAN-U OR ARSENAL
Share this topic
12 Aug 2014 20:13

ARSENAL IM SURE.

13 Aug 2014 12:58

arsenal wil always be customers were man u kwa kupokea mabao

13 Aug 2014 13:05

arsenal wamechoka kukimbia uwajani buri

13 Aug 2014 13:11

arsenal ndani yake

13 Aug 2014 13:13

arsenal tumeamka na sioni kaa tutalala?

13 Aug 2014 13:17

@ Nic ww ndo umejua mwanangu atulali tena

13 Aug 2014 13:26

yeah robart ata boss anamchungulia kijana wa brazil luiz gustavo huyo kijana n defensive midfi

13 Aug 2014 13:27

MAN U DAMU,ivo,ivo,(octopizo),niko na nitakuepo,wat!!!,na kwa mr bean,mujipage,round hii we need,"money machine;.

Edited by EmmanuOGY / 31 Aug 2014 23:18
13 Aug 2014 13:29

man u walikufa toka alex aende sasa hawatishi arsenal juu

13 Aug 2014 13:32

Arsenali kama kawa

13 Aug 2014 13:34

yeah kama kawa kama dawa @hamady

13 Aug 2014 14:08

free joining and simple earning online jobs,just click http:jobandpay.com/?id=142532

13 Aug 2014 16:07

asenili,na si tafadhali

13 Aug 2014 18:02

Arsenal wakishinda team mteremko wanaona wamefika hehe

13 Aug 2014 19:21

man-u damu

13 Aug 2014 21:34

Arsenal are pacesetters Man u are competitors and contenders

14 Aug 2014 08:06

Manchester united

15 Aug 2014 05:22

Man-U

15 Aug 2014 06:53

Arsenal for life

15 Aug 2014 07:01

Moyes alikua bad choice,lakin sasa na van gaal tupo poa,utaona vile man u watanyoa watu thz seasn..

Edited by Charlotte12 / 15 Aug 2014 09:18