Kenyan forum: Events - NEWS(HABARI)
Share this topic
25 Jul 2014 20:29

WASHUKIWA WAWILI WA UGAIDI WAUWAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAAFISA WA USALAMA KATIKA KIVUKO CHA LIKONI FERRY MJINI MOMBASA HAPO JANA MWENDO WA SAA KUMI NA MBILI JIONI

Edited by KERO ALI / 26 Jul 2014 05:03
25 Jul 2014 22:22

kama kiswahili kigumu andika kiingereza,hayo maneno hayaeleweki

25 Jul 2014 22:27

Nafikiri kiswahili dio lahisi sana

25 Jul 2014 22:29
Post is hidden!
25 Jul 2014 22:49

wh kild thm & wen did th action tak plc?mak urslf clear

26 Jul 2014 19:20

tatizo kwa habari hakuna sheng'i,and must use kamusi wrds

26 Jul 2014 20:25

Quote by MAGHANGA J
tatizo kwa habari hakuna sheng'i,and must use kamusi wrds

kwani wapi kumetumika shengi kka?@MAGHANGA

26 Jul 2014 20:31
Post is hidden!
26 Jul 2014 20:37

Quote by NICHOLASMWAI
yeah nw ur meso is makng sence

mwanadamu cku zote nimpungufu kka@NICHOLASMWAI

26 Jul 2014 20:40
Post is hidden!
26 Jul 2014 20:45

Propanganda

26 Jul 2014 20:47

Quote by anono
Propanganda

niukweli kka nawala c propaganda@Anono

26 Jul 2014 20:51
Post is hidden!
26 Jul 2014 20:51
Post is hidden!
26 Jul 2014 20:54

pole yawa

26 Jul 2014 20:59
Post is hidden!
26 Jul 2014 21:06
Post is hidden!