Kenyan forum: Fashion - Which clothes/ shoes were in fashion after your adole?
Share this topic
5 Feb 2014 19:43

Which clothes were in fashion after ur primary education?

5 Feb 2014 19:46

Viatu was DH na trouser ilikua Tokyo.

16 Feb 2014 07:55

kiatu waz sadak na kinyasa ya mpira

18 Feb 2014 17:24

Orange Net Vest(RONALDO) n akala

7 Apr 2014 19:52

Ozarks wewe haukufaa sadak wacha ujinga.

7 Apr 2014 19:57

Kawadeborah yani ronaldo na akala?

8 Apr 2014 11:06

Ata mimi nilikuta DH na tokyo, mbila hiyo haungeongea na dame.

8 Apr 2014 11:07

Kwani wewe ozarks ni wa lini?

10 Apr 2014 10:12

Kluger hiyo ilikuwa kali.

17 Apr 2014 13:50

Tena sana derrick.

17 Apr 2014 13:51

Wazae wa bell bottom mko wapi??